Muda nchi idumupo, majira ya kupanda, na mavuno, wakati wa baridi na wakati wa joto, wakati wa kaskazi na wakati wa kusi, mchana na usiku, havitakoma.
Yobu 26:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Amepiga duara kuwa ni mpaka juu ya uso wa maji, Hata hapo mwanga na giza vinapopakana. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Amechora duara juu ya uso wa bahari, penye mpaka kati ya mwanga na giza. Biblia Habari Njema - BHND Amechora duara juu ya uso wa bahari, penye mpaka kati ya mwanga na giza. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Amechora duara juu ya uso wa bahari, penye mpaka kati ya mwanga na giza. Neno: Bibilia Takatifu Amechora mstari wa upeo juu ya maji, ameweka mpaka wa nuru na giza. Neno: Maandiko Matakatifu Amechora mstari wa upeo juu ya uso wa maji, ameweka mpaka wa nuru na giza. BIBLIA KISWAHILI Amepiga duara kuwa ni mpaka juu ya uso wa maji, Hata hapo mwanga na giza vinapopakana. |
Muda nchi idumupo, majira ya kupanda, na mavuno, wakati wa baridi na wakati wa joto, wakati wa kaskazi na wakati wa kusi, mchana na usiku, havitakoma.
Alipoipa bahari mpaka wake, Kwamba maji yake yasiasi amri yake; Alipoiagiza misingi ya nchi;
Je! Hamniogopi mimi? Asema BWANA; hamtatetemeka mbele za uso wangu; mimi niliyeweka mchanga kuwa mpaka wa bahari, kwa amri ya daima, isiweze kuupita? Mawimbi yake yajapoumuka-umuka, hayawezi kushinda nguvu; yajapovuma sana, hayawezi kuupita.