Yobu 24:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Hushindika mafuta ndani ya kuta za watu hao; Wakanyaga mashinikizo, nao wana kiu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema wakiwatengenezea waovu mafuta yao, au kukamua divai bila hata kuionja. Biblia Habari Njema - BHND wakiwatengenezea waovu mafuta yao, au kukamua divai bila hata kuionja. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza wakiwatengenezea waovu mafuta yao, au kukamua divai bila hata kuionja. Neno: Bibilia Takatifu Hukamua zeituni katika mawe ya kusagia; hukanyaga mashinikizo, lakini wanaona kiu. Neno: Maandiko Matakatifu Hukamua zeituni katika mawe ya kusagia; hukanyaga mashinikizo, lakini wanaona kiu. BIBLIA KISWAHILI Hushindika mafuta ndani ya kuta za watu hao; Wakanyaga mashinikizo, nao wana kiu. |
Watu huugua toka mji ulio na watu wengi, Na roho yake aliyejeruhiwa hupiga ukelele; Wala Mungu hauangalii upumbavu.
Mwasema, Yeye ni mwepesi juu ya uso wa gharika; Sehemu yao inalaaniwa duniani; Hageuki kwenda njia ya mizabibuni.
Na furaha imeondolewa, na shangwe toka mashamba yaliyozaa sana; hapana kuimba katika mashamba ya mizabibu, wala sauti za furaha; akanyagaye hakanyagi divai katika mashinikizo; nimeikomesha sauti ya furaha yake akanyagaye.
Ole wake aijengaye nyumba yake kwa uovu! Na vyumba vyake kwa udhalimu! Atumiaye utumishi wa mwenzake bila ujira, Wala hampi mshahara wake;
Angalieni, ujira wa wakulima waliovuna mashamba yenu, ninyi mliokosa kuwalipa kwa hila, unapiga kelele, na vilio vyao waliovuna vimeingia masikioni mwa Bwana wa majeshi.