Yobu 23:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Laiti ningejua mahali niwezapo kumwona, Nifike hata hapo anapokaa! Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Laiti ningejua mahali nitakapompata Mungu! Ningeweza kwenda hata karibu naye. Biblia Habari Njema - BHND Laiti ningejua mahali nitakapompata Mungu! Ningeweza kwenda hata karibu naye. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Laiti ningejua mahali nitakapompata Mungu! Ningeweza kwenda hata karibu naye. Neno: Bibilia Takatifu Laiti ningefahamu mahali pa kumwona; laiti ningeweza kwenda mahali akaapo! Neno: Maandiko Matakatifu Laiti ningefahamu mahali pa kumwona; laiti ningeweza kwenda mahali akaapo! BIBLIA KISWAHILI Laiti ningejua mahali niwezapo kumwona, Nifike hata hapo anapokaa! |
Naam, katika njia ya hukumu zako Sisi tumekungoja, Ee BWANA; Shauku ya nafsi zetu inaelekea Jina lako na ukumbusho wako.
Ijapokuwa maovu yetu yanatushuhudia, lakini utende wewe kwa ajili ya jina lako, Ee BWANA, maana kurudi nyuma kwetu ni kwingi; tumekutenda dhambi.
Basi, kwa kuwa neno hili limebaki kwamba wako watu watakaoingia humo, na wale waliohubiriwa habari ile zamani walikosa kuingia kwa sababu ya kuasi kwao,