Nayachukia maisha yangu; Nitayasema malalamiko yangu wazi; Nitanena kwa uchungu wa roho yangu.
Yobu 23:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Hata leo malalamiko yangu yana uchungu; Pigo langu ni zito zaidi ya kuugua kwangu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Leo pia lalamiko langu ni chungu. Napata maumivu na kusononeka. Biblia Habari Njema - BHND “Leo pia lalamiko langu ni chungu. Napata maumivu na kusononeka. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Leo pia lalamiko langu ni chungu. Napata maumivu na kusononeka. Neno: Bibilia Takatifu “Hata leo malalamiko yangu ni ya uchungu; mkono wake ni mzito juu yangu hata nikiugua. Neno: Maandiko Matakatifu “Hata leo malalamiko yangu ni chungu; mkono wake ni mzito juu yangu hata nikiugua. BIBLIA KISWAHILI Hata leo malalamiko yangu yana uchungu; Pigo langu ni zito zaidi ya kuugua kwangu. |
Nayachukia maisha yangu; Nitayasema malalamiko yangu wazi; Nitanena kwa uchungu wa roho yangu.
Tena akuoneshe hizo siri za hekima, Ya kuwa hufanikiwa katika kuyatimiza makusudi yake! Ujue basi ya kuwa Mungu akuachilia katika uovu wako.
Maana huongeza uasi juu ya dhambi zake, Apiga makofi kati yetu, Na kuongeza maneno yake kinyume cha Mungu.
Kwa hiyo sitakizuia kinywa changu; Nitanena kwa mateso ya roho yangu; Nitalia kwa uchungu wa nafsi yangu.
Kwa maana mchana na usiku Mkono wako ulinilemea. Jasho langu likakauka hata nikawa Kama nchi kavu wakati wa kaskazi.
Mwanadamu, tazama, ninakuondolea kwa pigo moja tunu, mteule wa macho yako; walakini hutaomboleza wala kulia, wala yasichuruzike machozi yako.