Nawe, je! Wafumbua macho yako kumwangalia mtu kama yeye, Na kunitia katika hukumu pamoja nawe?
Yobu 22:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Je! Ni kwa wewe kumcha yeye anakukemea? Na kuingia hukumuni nawe? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Unadhani anakurudi na kukuhukumu kwa sababu wewe unamheshimu? Biblia Habari Njema - BHND Unadhani anakurudi na kukuhukumu kwa sababu wewe unamheshimu? Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Unadhani anakurudi na kukuhukumu kwa sababu wewe unamheshimu? Neno: Bibilia Takatifu “Je, ni kwa ajili ya utaua wako ndiyo maana anakukemea na kuleta mashtaka dhidi yako? Neno: Maandiko Matakatifu “Je, ni kwa ajili ya utaua wako ndiyo maana anakukemea na kuleta mashtaka dhidi yako? BIBLIA KISWAHILI Je! Ni kwa wewe kumcha yeye anakukemea? Na kuingia hukumuni nawe? |
Nawe, je! Wafumbua macho yako kumwangalia mtu kama yeye, Na kunitia katika hukumu pamoja nawe?
Uogopeni upanga; Kwa maana adhabu za upanga zina ghadhabu, Mpate kujua ya kwamba hukumu iko.
Je! Mwenyezi hupata furaha katika wewe kuwa mwenye haki? Au je, ni faida kwake, kwamba wafanya njia zako kuwa timilifu?
Kama tukitaja nguvu za mashujaa, tazama yupo hapo! Kama tukitaja hukumu, ni nani atakayemwita mahakamani?
Ukimrudi mtu kwa kumkemea kwa uovu wake, Watowesha uzuri wake kama nondo. Kila mwanadamu ni ubatili.
Kwa maana Mungu ataleta hukumuni kila kazi, pamoja na kila neno la siri, likiwa jema au likiwa baya.