Yobu 22:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Wenye haki huyaona hayo wakafurahi; Nao wasio na hatia huwacheka; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wanyofu huona na kufurahi, wasio na hatia huwacheka na kuwadharau, Biblia Habari Njema - BHND Wanyofu huona na kufurahi, wasio na hatia huwacheka na kuwadharau, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wanyofu huona na kufurahi, wasio na hatia huwacheka na kuwadharau, Neno: Bibilia Takatifu “Wenye haki wanaona maangamizi yao na kufurahi, nao wasio na hatia huwadhihaki, wakisema, Neno: Maandiko Matakatifu “Wenye haki wanaona maangamizi yao na kufurahi, nao wasio na hatia huwadhihaki, wakisema, BIBLIA KISWAHILI Wenye haki huyaona hayo wakafurahi; Nao wasio na hatia huwacheka; |
Sayuni imesikia na kufurahi, Binti za Yuda walishangilia, Kwa sababu ya hukumu zako, Ee BWANA.
Furahini juu yake, enyi mbingu, na enyi watakatifu, mitume na manabii; kwa maana Mungu ametoa hukumu kwa ajili yenu juu yake.