Yobu 22:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Je! Mungu hayuko mbinguni juu? Tena tazama umbali wa nyota, jinsi zilivyo juu! Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Twajua Mungu yuko huko juu mbinguni. Tazama nyota za juu kabisa zilivyo mbali! Biblia Habari Njema - BHND Twajua Mungu yuko huko juu mbinguni. Tazama nyota za juu kabisa zilivyo mbali! Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Twajua Mungu yuko huko juu mbinguni. Tazama nyota za juu kabisa zilivyo mbali! Neno: Bibilia Takatifu “Je, Mungu hayuko katika mbingu za juu? Juu kuliko nyota zilizo juu sana! Neno: Maandiko Matakatifu “Je, Mungu hayuko katika mbingu za juu? Juu kuliko nyota zilizo juu sana! BIBLIA KISWAHILI Je! Mungu hayuko mbinguni juu? Tena tazama umbali wa nyota, jinsi zilivyo juu! |
Ni juu mno kama mbingu; waweza kufanya nini wewe? Ni wenye kina kuliko kuzimuni; waweza kujua nini wewe?
Jitunze mguu wako uendapo nyumbani kwa Mungu; Maana ni heri kukaribia ili usikie, Kuliko kutoa kafara ya wapumbavu; Ambao hawajui kuwa wafanya mabaya.
Usiseme maneno ya ujinga kwa kinywa chako, wala moyo wako usiwe na haraka kunena mbele za Mungu; kwa maana, Mungu yuko mbinguni, na wewe upo chini, Kwa hiyo maneno yako na yawe machache.
Maana yeye aliye juu, aliyetukuka, akaaye milele; ambaye jina lake ni Mtakatifu; asema hivi; Nakaa mimi mahali palipoinuka, palipo patakatifu; tena pamoja na yeye aliye na roho iliyotubu na kunyenyekea, ili kuzifufua roho za wanyenyekevu, na kuifufua mioyo yao waliotubu.
BWANA asema hivi, Mbingu ni kiti changu cha enzi, na dunia ni mahali pa kuweka miguu yangu; mtanijengea nyumba ya namna gani? Na mahali pangu pa kupumzikia ni mahali gani?