Yobu 21:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Mimi, je! Mashitaka yangu yamhusu mwanadamu? Nami kwa nini nisikose kusubiri? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Je, mimi namlalamikia binadamu? Ya nini basi, nikose uvumilivu? Biblia Habari Njema - BHND Je, mimi namlalamikia binadamu? Ya nini basi, nikose uvumilivu? Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Je, mimi namlalamikia binadamu? Ya nini basi, nikose uvumilivu? Neno: Bibilia Takatifu “Je, kwani malalamiko yangu yanaelekezwa kwa mwanadamu? Kwa nini nisikose subira? Neno: Maandiko Matakatifu “Je, kwani malalamiko yangu yanaelekezwa kwa mwanadamu? Kwa nini nisikose subira? BIBLIA KISWAHILI Mimi, je! Mashitaka yangu yamhusu mwanadamu? Nami kwa nini nisikose kusubiri? |
Nafsi yangu, kwa nini kuinama, Na kufadhaika ndani yangu? Umtumaini Mungu; Kwa maana nitakuja kumsifu, Aliye afya ya uso wangu, Na Mungu wangu.
Musa akawaambia wana wa Israeli maneno haya; lakini hawakumsikiliza Musa kwa ajili ya uchungu wa moyo, na kwa ajili ya utumwa mgumu.
Ndipo akawaambia, Roho yangu ina huzuni nyingi kiasi cha kufa; kaeni hapa, mkeshe pamoja nami.
Usimdhanie mjakazi wako kuwa ni mwanamke asiyefaa kitu; kwa kuwa katika wingi wa kuugua kwangu na kusikitika kwangu ndivyo nilivyonena hata sasa.