Yobu 21:34 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Basi imekuwaje ninyi kunituliza moyo kwa utupu mtupu, Kwa kuwa katika majibu yenu unasalia uongo tu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mtawezaje basi, kunifariji kwa maneno matupu? majibu yenu hayana chochote ila uongo.” Biblia Habari Njema - BHND Mtawezaje basi, kunifariji kwa maneno matupu? majibu yenu hayana chochote ila uongo.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mtawezaje basi, kunifariji kwa maneno matupu? majibu yenu hayana chochote ila uongo.” Neno: Bibilia Takatifu “Hivyo ninyi mnawezaje kunifariji kwa upuzi wenu? Hakuna kilichosalia cha majibu yenu isipokuwa uongo!” Neno: Maandiko Matakatifu “Hivyo ninyi mnawezaje kunifariji kwa upuzi wenu? Hakuna kilichosalia cha majibu yenu isipokuwa uongo!” BIBLIA KISWAHILI Basi imekuwaje ninyi kunituliza moyo kwa utupu mtupu, Kwa kuwa katika majibu yenu unasalia uongo tu. |
Tena hasira zake ziliwaka juu ya hao rafiki zake watatu kwa sababu hawakupata jawabu, lakini wamemhukumia Ayubu makosa.
Basi ikawa, baada ya BWANA kumwambia Ayubu maneno hayo, BWANA akamwambia huyo Elifazi Mtemani, Hasira zangu zinawaka juu yako, na juu ya hao rafiki zako wawili; kwa kuwa ninyi hamkunena yaliyo sawa katika habari zangu, kama alivyonena mtumishi wangu Ayubu.