Je! Majivuno yako yawanyamazishe watu wawe kimya? Nawe hapo ufanyapo dhihaka, je! Hapana mtu atakayekutahayarisha?
Yobu 21:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Niacheni, nami pia nitanena; Tena nikiisha nena, zidini kudhihaki. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nivumilieni, nami nitasema, na nikisha sema endeleeni kunidhihaki. Biblia Habari Njema - BHND Nivumilieni, nami nitasema, na nikisha sema endeleeni kunidhihaki. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nivumilieni, nami nitasema, na nikisha sema endeleeni kunidhihaki. Neno: Bibilia Takatifu Nivumilieni ninapozungumza, nami nikishazungumza, endeleeni kunidhihaki. Neno: Maandiko Matakatifu Nivumilieni ninapozungumza, nami nikishazungumza, endeleeni kunidhihaki. BIBLIA KISWAHILI Niacheni, nami pia nitanena; Tena nikiisha nena, zidini kudhihaki. |
Je! Majivuno yako yawanyamazishe watu wawe kimya? Nawe hapo ufanyapo dhihaka, je! Hapana mtu atakayekutahayarisha?
Wamenifumbulia vinywa vyao; Wamenipiga shavuni kwa kunitukana; Hukutana pamoja juu yangu.
Ni kweli wako kwangu wenye kufanya dhihaka, Jicho langu hukaa katika kunifanyia uchungu kwao.