Yobu 21:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Yasikizeni sana maneno yangu; Jambo hili na liwe faraja yenu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Sikilizeni kwa makini maneno yangu; na hiyo iwe ndiyo faraja yenu. Biblia Habari Njema - BHND “Sikilizeni kwa makini maneno yangu; na hiyo iwe ndiyo faraja yenu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Sikilizeni kwa makini maneno yangu; na hiyo iwe ndiyo faraja yenu. Neno: Bibilia Takatifu “Yasikilizeni maneno yangu kwa makini; hii na iwe faraja mnayonipa mimi. Neno: Maandiko Matakatifu “Yasikilizeni maneno yangu kwa makini; hii na iwe faraja mnayonipa mimi. BIBLIA KISWAHILI Yasikizeni sana maneno yangu; Jambo hili na liwe faraja yenu. |
Sikilizeni maneno yangu, enyi wenye hekima; Tegeni masikio kwangu, ninyi mlio na maarifa.
Kwa nini mtoe fedha kwa ajili ya kitu ambacho si chakula? Na mapato yenu kwa kitu kisichoshibisha? Nisikilizeni kwa bidii, mle kilicho chema, Na kujifurahisha nafsi zenu kwa unono.
Kisha walipomwambia huyo Yothamu, yeye akaenda, akasimama juu ya kilele cha kilima cha Gerizimu, akapaza sauti yake, akapiga kelele, na kuwaambia, Nisikieni mimi, enyi watu wa Shekemu, ili Mungu naye apate kuwasikia ninyi.