Uogopeni upanga; Kwa maana adhabu za upanga zina ghadhabu, Mpate kujua ya kwamba hukumu iko.
Yobu 20:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Nimesikia maonyo yanayonitahayarisha, Nayo roho ya ufahamu wangu hunijibu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nasikia maonyo nisiyoweza kuvumilia, lakini akili yangu yanisukuma nijibu. Biblia Habari Njema - BHND Nasikia maonyo nisiyoweza kuvumilia, lakini akili yangu yanisukuma nijibu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nasikia maonyo nisiyoweza kuvumilia, lakini akili yangu yanisukuma nijibu. Neno: Bibilia Takatifu Ninasikia makaripio ambayo yananivunjia heshima, nao ufahamu wangu unanisukuma kujibu. Neno: Maandiko Matakatifu Ninasikia makaripio ambayo yananivunjia heshima, nao ufahamu wangu unanisukuma kujibu. BIBLIA KISWAHILI Nimesikia maonyo yanayonitahayarisha, Nayo roho ya ufahamu wangu hunijibu. |
Uogopeni upanga; Kwa maana adhabu za upanga zina ghadhabu, Mpate kujua ya kwamba hukumu iko.
Maneno yangu yatatamka uelekevu wa moyo wangu; Na hayo niyajuayo midomo yangu itayanena kwa unyofu.