Yobu 20:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Ndipo Sofari, Mnaamathi, akajibu, na kusema, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kisha Sofari, Mnaamathi, akajibu: Biblia Habari Njema - BHND Kisha Sofari, Mnaamathi, akajibu: Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kisha Sofari, Mnaamathi, akajibu: Neno: Bibilia Takatifu Ndipo Sofari Mnaamathi akajibu: Neno: Maandiko Matakatifu Ndipo Sofari Mnaamathi akajibu: BIBLIA KISWAHILI Ndipo Sofari, Mnaamathi, akajibu, na kusema, |
Uogopeni upanga; Kwa maana adhabu za upanga zina ghadhabu, Mpate kujua ya kwamba hukumu iko.
Basi ikawa hao marafiki watatu wa Ayubu walipopata habari ya mabaya hayo yote yaliyomfikia, wakaja kila mtu kutoka mahali pake; nao ni Elifazi Mtemani, na Bildadi Mshuhi, na Sofari Mnaamathi; wakapatana pamoja ili waende kumfariji Ayubu na kumtuliza moyo.
Basi Elifazi, Mtemani, na Bildadi, Mshuhi, na Sofari, Mnaamathi, wakaenda, wakafanya kama vile BWANA alivyowaamuru; naye BWANA akamridhia Ayubu.