Yeye huwaondoa washauri wakiwa wamevuliwa nguo, Naye huwafanya waamuzi kuwa ni wapumbavu.
Yobu 19:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Amenivua utukufu wangu, Na kuiondoa taji kichwani mwangu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Amenivua fahari yangu; ameiondoa taji yangu kichwani. Biblia Habari Njema - BHND Amenivua fahari yangu; ameiondoa taji yangu kichwani. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Amenivua fahari yangu; ameiondoa taji yangu kichwani. Neno: Bibilia Takatifu Amenivua heshima yangu, na kuniondolea taji kichwani pangu. Neno: Maandiko Matakatifu Amenivua heshima yangu, na kuniondolea taji kichwani pangu. BIBLIA KISWAHILI Amenivua utukufu wangu, Na kuiondoa taji kichwani mwangu. |
Yeye huwaondoa washauri wakiwa wamevuliwa nguo, Naye huwafanya waamuzi kuwa ni wapumbavu.
Lakini sasa hao walio wadogo wangu hunifanyia mzaha, Ambao baba zao ningewadharau hata kuwasimamia mbwa wa kundi langu.
Bali ninyi mtaitwa makuhani wa BWANA; watu watawaiteni wahudumu wa Mungu wetu; mtakula utajiri wa mataifa, na kujisifia utukufu wao.
Naye Efraimu, utukufu wake utarukia mbali kama ndege, uzazi hautakuwako, wala aliye na mimba, wala achukuaye mimba.