Na baba yenu amenidanganya, akabadili mshahara wangu mara kumi; lakini Mungu hakumwachia anidhuru.
Yobu 19:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Mara kumi hizi mmenishutumu; Hamwoni haya kunifanyia mambo magumu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mara hizi zote kumi mmenishutumu. Je, hamwoni aibu kunitendea vibaya? Biblia Habari Njema - BHND Mara hizi zote kumi mmenishutumu. Je, hamwoni aibu kunitendea vibaya? Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mara hizi zote kumi mmenishutumu. Je, hamwoni aibu kunitendea vibaya? Neno: Bibilia Takatifu Mara kumi hizi mmenishutumu; bila aibu mnanishambulia. Neno: Maandiko Matakatifu Mara kumi hizi mmenishutumu; bila aibu mnanishambulia. BIBLIA KISWAHILI Mara kumi hizi mmenishutumu; Hamwoni haya kunifanyia mambo magumu. |
Na baba yenu amenidanganya, akabadili mshahara wangu mara kumi; lakini Mungu hakumwachia anidhuru.
Yusufu akawaona nduguze, akawatambua, lakini alijifanya kama mgeni kwao. Akasema nao kwa maneno makali, akawaambia, Mmetoka wapi ninyi? Wakasema. Tumetoka nchi ya Kanaani, ili tununue chakula.
Kisha Wayahudi waliokaa karibu nao, walikuja, wakatuambia mara kumi: Watakuja kutoka kila sehemu wanapokaa kutushambulia.
Ikiwa una uovu mkononi mwako, uweke mbali nawe, Wala usikubali upuzi kukaa hemani mwako;
Je! Majivuno yako yawanyamazishe watu wawe kimya? Nawe hapo ufanyapo dhihaka, je! Hapana mtu atakayekutahayarisha?
Na katika kila jambo la hekima na ufahamu alilowauliza mfalme, akawaona kuwa walifaa mara kumi zaidi ya waganga na wachawi waliokuwa katika ufalme wake.
Hapo nitakapovunja tegemeo lenu la mkate, wanawake kumi wataoka mikate yenu katika tanuri moja, nao watawapa mikate yenu tena kwa kupima kwa mizani; nanyi mtakula, lakini hamtashiba.
kwa sababu watu hawa wote, ambao wameuona utukufu wangu na ishara zangu, nilizozitenda huko Misri, na huko jangwani, pamoja na haya wamenijaribu mara hizi kumi, wala hawakuisikiza sauti yangu;