Na Israeli wote watamlilia, na kumzika, kwa maana ndiye peke yake wa Yeroboamu atakayeingia kaburini; kwa sababu limeonekana ndani yake jambo lililo jema kwa BWANA, Mungu wa Israeli, nyumbani mwa Yeroboamu.
Yobu 19:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Kama mkisema, Jinsi tutakavyomwudhi! Kwa kuwa shina la jambo hili limeonekana kwake; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Nyinyi mwaweza kujisemea: ‘Tutamfuatia namna gani? Biblia Habari Njema - BHND “Nyinyi mwaweza kujisemea: ‘Tutamfuatia namna gani? Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Nyinyi mwaweza kujisemea: ‘Tutamfuatia namna gani? Neno: Bibilia Takatifu “Mkisema, ‘Tazama tutakavyomwinda, maadamu mzizi wa tatizo uko ndani yake,’ Neno: Maandiko Matakatifu “Kama mkisema, ‘Tazama tutakavyomwinda, maadamu mzizi wa tatizo uko ndani yake,’ BIBLIA KISWAHILI Kama mkisema, Jinsi tutakavyomwudhi! Kwa kuwa shina la jambo hili limeonekana kwake; |
Na Israeli wote watamlilia, na kumzika, kwa maana ndiye peke yake wa Yeroboamu atakayeingia kaburini; kwa sababu limeonekana ndani yake jambo lililo jema kwa BWANA, Mungu wa Israeli, nyumbani mwa Yeroboamu.
Uogopeni upanga; Kwa maana adhabu za upanga zina ghadhabu, Mpate kujua ya kwamba hukumu iko.