Yobu 19:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Je! Mtanichukiza nafsi yangu hata lini, Na kunivunjavunja kwa maneno? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Mtaendelea kunitesa mpaka lini, na kunivunjavunja kwa maneno? Biblia Habari Njema - BHND “Mtaendelea kunitesa mpaka lini, na kunivunjavunja kwa maneno? Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Mtaendelea kunitesa mpaka lini, na kunivunjavunja kwa maneno? Neno: Bibilia Takatifu “Je, mtaendelea kunitesa hadi lini, na kuniponda kwa maneno yenu? Neno: Maandiko Matakatifu “Je, mtaendelea kunitesa mpaka lini, na kuniponda kwa maneno yenu? BIBLIA KISWAHILI Je! Mtanichukiza nafsi yangu hata lini, Na kunivunjavunja kwa maneno? |
Wewe utanena maneno haya hadi lini? Maneno ya kinywa chako yatakuwa kama upepo mkuu hadi lini?
Watesi wangu hunitukana mithili ya kuniponda mifupa yangu, Pindi wanaponiambia mchana kutwa, Yuko wapi Mungu wako?
Kinywa chake ni laini kuliko siagi, Bali moyo wake ni vita. Maneno yake ni mororo kuliko mafuta, Lakini yanakata kama upanga mkali.
Wakalia kwa sauti kuu, wakisema, Ee Mola, Mtakatifu, na Mkweli, utakawia hadi lini kuhukumu na kuilipa damu yetu kwa hao wakaao juu ya nchi?
Hatimaye, kwa vile alivyomsumbua kwa maneno yake kila siku, na kumuudhi, roho yake ikataabika karibu kufa.