Yobu 19:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Marafiki zangu wote wa dhati wanichukia; Na hao niliowapenda wamenigeukia. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Rafiki zangu wakuu wanachukizwa nami, wale niliokuwa nikiwapenda wamenipa kisogo. Biblia Habari Njema - BHND “Rafiki zangu wakuu wanachukizwa nami, wale niliokuwa nikiwapenda wamenipa kisogo. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Rafiki zangu wakuu wanachukizwa nami, wale niliokuwa nikiwapenda wamenipa kisogo. Neno: Bibilia Takatifu Rafiki zangu wa moyoni wote wananichukia kabisa; wale ninaowapenda wamekuwa kinyume nami. Neno: Maandiko Matakatifu Rafiki zangu wa moyoni wote wananichukia kabisa; wale niwapendao wamekuwa kinyume nami. BIBLIA KISWAHILI Marafiki zangu wote wa dhati wanichukia; Na hao niliowapenda wamenigeukia. |
Wanipendao na rafiki zangu wanasimama mbali na pigo langu; Na jamaa zangu wanasimama mbali.
Hata rafiki yangu mwandani niliyemtumaini, Aliyekula pamoja nami, Ameniinulia kisigino chake.