mara, tazama, upepo wenye nguvu ukatoka pande za jangwani, ukaipiga hiyo nyumba pembe zake nne, nayo ikawaangukia hao vijana, nao wamekufa; na mimi peke yangu nimepona, mimi tu, kukuletea habari.
Yobu 19:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Namwita mtumishi wangu, wala haniitikii, Ingawa namsihi kwa kinywa changu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Namwita mtumishi wangu lakini haitikii, ninalazimika kumsihi sana kwa maneno. Biblia Habari Njema - BHND Namwita mtumishi wangu lakini haitikii, ninalazimika kumsihi sana kwa maneno. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Namwita mtumishi wangu lakini haitikii, ninalazimika kumsihi sana kwa maneno. Neno: Bibilia Takatifu Namwita mtumishi wangu, wala haitiki, ingawa namwomba kwa kinywa changu mwenyewe. Neno: Maandiko Matakatifu Namwita mtumishi wangu, wala haitiki, ingawa namwomba kwa kinywa changu mwenyewe. BIBLIA KISWAHILI Namwita mtumishi wangu, wala haniitikii, Ingawa namsihi kwa kinywa changu. |
mara, tazama, upepo wenye nguvu ukatoka pande za jangwani, ukaipiga hiyo nyumba pembe zake nne, nayo ikawaangukia hao vijana, nao wamekufa; na mimi peke yangu nimepona, mimi tu, kukuletea habari.
Wakaao nyumbani mwangu, na vijakazi vyangu, wanihesabu kuwa mgeni; Wageni nyumbani mwangu, na vijakazi wangu, wanihesabu kuwa mgeni.