Yobu 19:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Tena ameziwasha ghadhabu zake juu yangu, Akanihesabia kuwa mmoja katika watesi wake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ameichochea ghadhabu yake dhidi yangu; ameniona kuwa kama adui yake. Biblia Habari Njema - BHND Ameichochea ghadhabu yake dhidi yangu; ameniona kuwa kama adui yake. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ameichochea ghadhabu yake dhidi yangu; ameniona kuwa kama adui yake. Neno: Bibilia Takatifu Hasira yake imewaka juu yangu; amenihesabu kuwa miongoni mwa adui zake. Neno: Maandiko Matakatifu Hasira yake imewaka juu yangu; amenihesabu kuwa miongoni mwa adui zake. BIBLIA KISWAHILI Tena ameziwasha ghadhabu zake juu yangu, Akanihesabia kuwa mmoja katika watesi wake. |
Amenirarua katika ghadhabu zake, na kunionea; Amesagasaga meno juu yangu; Mtesi wangu hunikazia macho makali.
Ameupinda upinde wake kama adui, Amesimama na mkono wake wa kulia kama mtesi; Naye amewaua hao wote Waliopendeza macho; Katika hema ya binti Sayuni Amemimina ghadhabu yake kama moto.
Bwana amekuwa mfano wa adui, Amemmeza Israeli; Ameyameza majumba yake yote, Ameziharibu ngome zake; Tena amemzidishia binti Yuda Matanga na maombolezo.
Maana, moto umewashwa kwa hasira yangu, Unateketea hata chini ya kuzimu, Unakula dunia pamoja na mazao yake, Unaunguza misingi ya milima.