mara Waseba wakawashambulia, wakawachukua wakaenda nao; naam, wamewaua hao watumishi kwa makali ya upanga, mimi peke yangu nimepona, mimi tu, kukuletea habari.
Yobu 18:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Tanzi litamshika kisigino chake, Na mtego utamshika. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mtego humkamata kisiginoni, tanzi humbana kabisa. Biblia Habari Njema - BHND Mtego humkamata kisiginoni, tanzi humbana kabisa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mtego humkamata kisiginoni, tanzi humbana kabisa. Neno: Bibilia Takatifu Tanzi litamkamata kwenye kisigino; mtego utamshikilia kwa nguvu. Neno: Maandiko Matakatifu Tanzi litamkamata kwenye kisigino; mtego utamshikilia kwa nguvu. BIBLIA KISWAHILI Tanzi litamshika kisigino chake, Na mtego utamshika. |
mara Waseba wakawashambulia, wakawachukua wakaenda nao; naam, wamewaua hao watumishi kwa makali ya upanga, mimi peke yangu nimepona, mimi tu, kukuletea habari.
Huyo alipokuwa akali akinena, akatokea na mwingine, na kusema, Wakaldayo walifanya vikosi vitatu, wakawaangukia ngamia, wakaenda nao, naam, wamewaua wale watumishi kwa makali ya upanga; mimi peke yangu nimepona, mimi tu, kukuletea habari.
Mavuno yake wale wenye njaa huyala, Na kuyatwaa hata kuyatoa miibani, Nao wenye kiu huzitwetea mali zao.
Wenye kiburi wamenifichia mtego na kamba; Wametandika wavu kando ya njia; Wameniwekea matanzi.