Yobu 18:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Twahesabiwa kuwa wanyama kwa sababu gani, Tena kuwa wanajisi machoni pako? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kwa nini unatufanya kama ng'ombe? Mbona unatuona sisi kuwa wapumbavu? Biblia Habari Njema - BHND Kwa nini unatufanya kama ng'ombe? Mbona unatuona sisi kuwa wapumbavu? Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kwa nini unatufanya kama ng'ombe? Mbona unatuona sisi kuwa wapumbavu? Neno: Bibilia Takatifu Kwa nini sisi tunafikiriwa kama wanyama, na kuonekana wajinga machoni pako? Neno: Maandiko Matakatifu Kwa nini sisi tunafikiriwa kama wanyama, na kuonekana wajinga machoni pako? BIBLIA KISWAHILI Twahesabiwa kuwa wanyama kwa sababu gani, Tena kuwa wanajisi machoni pako? |
Wewe ujiraruaye mwenyewe katika hasira yako, Je! Dunia itaachwa kwa ajili yako wewe? Au jabali litaondolewa mahali pake?
Nikasema moyoni mwangu, Ni kwa sababu ya wanadamu, ili Mungu awajaribu, nao waone ya kuwa wao wenyewe wafanana na wanyama.
Aweza kumpiga fimbo arubaini asizidishe asije akaonekana nduguyo kuwa amedharauliwa kwako, azidishapo kwa kumpiga fimbo nyingi juu ya hizi.