Yobu 18:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Je! Hata lini utayawinda maneno kwa mitego? Fikiri, kisha baadaye tutanena. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Utawinda maneno ya kusema hadi lini? Tafakari vizuri nasi tutasema. Biblia Habari Njema - BHND “Utawinda maneno ya kusema hadi lini? Tafakari vizuri nasi tutasema. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Utawinda maneno ya kusema hadi lini? Tafakari vizuri nasi tutasema. Neno: Bibilia Takatifu “Je, ni lini utafika mwisho wa maneno haya? Uwe mwenye busara, nasi ndipo tutakapoweza kuongea. Neno: Maandiko Matakatifu “Je, ni lini utafika mwisho wa maneno haya? Uwe mwenye busara, nasi ndipo tutakapoweza kuongea. BIBLIA KISWAHILI Je! Hata lini utayawinda maneno kwa mitego? Fikiri, kisha baadaye tutanena. |
Wewe utanena maneno haya hadi lini? Maneno ya kinywa chako yatakuwa kama upepo mkuu hadi lini?
Hayo mnajua, ndugu zangu wapenzi. Basi kila mtu na awe mwepesi wa kusikia, bali si mwepesi wa kusema; wala kukasirika;