Yobu 18:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Amefichiwa tanzi chini, Na mtego amewekewa njiani. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Amefichiwa kitanzi ardhini; ametegewa mtego njiani mwake. Biblia Habari Njema - BHND Amefichiwa kitanzi ardhini; ametegewa mtego njiani mwake. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Amefichiwa kitanzi ardhini; ametegewa mtego njiani mwake. Neno: Bibilia Takatifu Kitanzi kimefichwa ardhini kwa ajili yake; mtego uko kwenye njia yake. Neno: Maandiko Matakatifu Kitanzi kimefichwa ardhini kwa ajili yake; mtego uko kwenye njia yake. BIBLIA KISWAHILI Amefichiwa tanzi chini, Na mtego amewekewa njiani. |
Awanyeshee wasio haki mitego, Moto na kiberiti na upepo wa joto Na viwe fungu la kikombe chao.
Tena wavu wangu nitautandika juu yake, naye atanaswa kwa mtego wangu; nami nitampeleka Babeli, mpaka nchi ya Wakaldayo; lakini hataiona, ingawa atakufa huko.