Yobu 18:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Ndipo Bildadi, Mshuhi, akajibu, na kusema, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kisha Bildadi, Mshuhi, akajibu: Biblia Habari Njema - BHND Kisha Bildadi, Mshuhi, akajibu: Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kisha Bildadi, Mshuhi, akajibu: Neno: Bibilia Takatifu Bildadi Mshuhi akajibu: Neno: Maandiko Matakatifu Bildadi Mshuhi akajibu: BIBLIA KISWAHILI Ndipo Bildadi, Mshuhi, akajibu, na kusema, |
Basi ikawa hao marafiki watatu wa Ayubu walipopata habari ya mabaya hayo yote yaliyomfikia, wakaja kila mtu kutoka mahali pake; nao ni Elifazi Mtemani, na Bildadi Mshuhi, na Sofari Mnaamathi; wakapatana pamoja ili waende kumfariji Ayubu na kumtuliza moyo.