Mbona umekimbia kwa siri ukanihadaa, wala hukuniambia, nipate kuagana nawe uende zako kwa furaha, na nyimbo, na ngoma, na kinubi?
Yobu 17:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Amenifanya niwe mithali kwa watu; Nimekuwa mwenye kuchukiwa kwa wazi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Nimefanywa kuwa kichekesho kwa watu nimekuwa mtu wa kutemewa mate. Biblia Habari Njema - BHND “Nimefanywa kuwa kichekesho kwa watu nimekuwa mtu wa kutemewa mate. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Nimefanywa kuwa kichekesho kwa watu nimekuwa mtu wa kutemewa mate. Neno: Bibilia Takatifu “Mungu amenifanya kitu cha dhihaka kwa kila mtu, mtu ambaye watu humtemea mate usoni. Neno: Maandiko Matakatifu “Mungu amenifanya kitu cha dhihaka kwa kila mtu, mtu ambaye watu humtemea mate usoni. BIBLIA KISWAHILI Amenifanya niwe mithali kwa watu; Nimekuwa mwenye kuchukiwa kwa wazi. |
Mbona umekimbia kwa siri ukanihadaa, wala hukuniambia, nipate kuagana nawe uende zako kwa furaha, na nyimbo, na ngoma, na kinubi?
basi nitawakatilia Israeli mbali na nchi hii niliyowapa; na nyumba hii niliyoitakasa kwa jina langu, nitaitupilia mbali na macho yangu, na Israeli watakuwa mithali na neno la tusi katika mataifa yote.
Mimi ni mtu wa kuchekwa na jirani yake, Ni mtu niliyemwita Mungu, naye akanijibu; Huyo mwenye haki, aliye mtimilifu, amekuwa ni kicheko.
Ni kweli wako kwangu wenye kufanya dhihaka, Jicho langu hukaa katika kunifanyia uchungu kwao.
Na kinubi, na zeze, na matari, na filimbi, na mvinyo, zote ziko katika karamu zao; lakini hawaiangalii kazi ya BWANA wala kuyafikiri matendo ya mikono yake.
BWANA akamwambia Musa, Je! Kama baba yake angalimtemea mate usoni tu, hangaliona aibu muda wa siku saba? Na afungwe nje ya kambi muda wa siku saba, kisha baada ya hayo ataletwa ndani tena.