Mimi nitakuwa mdhamini wake, umtake mkononi mwangu. Nisipomleta tena kwako, na kumweka mbele yako, nitakuwa mwenye hatia mbele yako daima;
Yobu 17:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Nipe rehani basi, uwe dhamana kwa ajili yangu kwako wewe mwenyewe; Kuna nani atakayeniwekea dhamana? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Ee Mungu, uwe mdhamini wangu mbele yako, maana hakuna mwingine wa kunidhamini. Biblia Habari Njema - BHND “Ee Mungu, uwe mdhamini wangu mbele yako, maana hakuna mwingine wa kunidhamini. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Ee Mungu, uwe mdhamini wangu mbele yako, maana hakuna mwingine wa kunidhamini. Neno: Bibilia Takatifu “Ee Mungu, nipe dhamana unayodai. Ni nani mwingine atakayeweka dhamana kwa ajili yangu? Neno: Maandiko Matakatifu “Ee Mungu, nipe dhamana unayodai. Ni nani mwingine atakayeweka dhamana kwa ajili yangu? BIBLIA KISWAHILI Nipe rehani basi, uwe dhamana kwa ajili yangu kwako wewe mwenyewe; Kuna nani atakayeniwekea dhamana? |
Mimi nitakuwa mdhamini wake, umtake mkononi mwangu. Nisipomleta tena kwako, na kumweka mbele yako, nitakuwa mwenye hatia mbele yako daima;
Kwa maana mtumwa wako alijifanya mdhamini wa huyu kijana kwa baba yangu, nikisema, Nisipomrudisha kwako, nitakuwa na hatia kwa baba yangu daima.
Kama mbayuwayu au korongo ndivyo nilivyolia; Niliomboleza kama hua; macho yangu yamedhoofu kwa kutazama juu; Ee BWANA, nimeonewa, na uwe mdhamini wangu.