Je! Majivuno yako yawanyamazishe watu wawe kimya? Nawe hapo ufanyapo dhihaka, je! Hapana mtu atakayekutahayarisha?
Yobu 17:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Ni kweli wako kwangu wenye kufanya dhihaka, Jicho langu hukaa katika kunifanyia uchungu kwao. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kweli wanaonidhihaki wamenizunguka, dhihaka zao naziona dhahiri. Biblia Habari Njema - BHND Kweli wanaonidhihaki wamenizunguka, dhihaka zao naziona dhahiri. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kweli wanaonidhihaki wamenizunguka, dhihaka zao naziona dhahiri. Neno: Bibilia Takatifu Hakika wenye mizaha wamenizunguka; macho yangu yamebaki kutazama uadui wao. Neno: Maandiko Matakatifu Hakika wenye mizaha wamenizunguka; macho yangu yamebaki kutazama uadui wao. BIBLIA KISWAHILI Ni kweli wako kwangu wenye kufanya dhihaka, Jicho langu hukaa katika kunifanyia uchungu kwao. |
Je! Majivuno yako yawanyamazishe watu wawe kimya? Nawe hapo ufanyapo dhihaka, je! Hapana mtu atakayekutahayarisha?
Mimi ni mtu wa kuchekwa na jirani yake, Ni mtu niliyemwita Mungu, naye akanijibu; Huyo mwenye haki, aliye mtimilifu, amekuwa ni kicheko.