Nayachukia maisha yangu; Nitayasema malalamiko yangu wazi; Nitanena kwa uchungu wa roho yangu.
Yobu 16:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Lakini sasa amenichokesha; Jamii yangu yote umeifanya ukiwa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kweli Mungu amenichakaza ameharibu kila kitu karibu nami. Biblia Habari Njema - BHND Kweli Mungu amenichakaza ameharibu kila kitu karibu nami. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kweli Mungu amenichakaza ameharibu kila kitu karibu nami. Neno: Bibilia Takatifu Ee Mungu, hakika umenichakaza; umewaangamiza kabisa watu wa nyumbani mwangu wote. Neno: Maandiko Matakatifu Ee Mungu, hakika umenichakaza; umewaangamiza kabisa watu wa nyumbani mwangu wote. BIBLIA KISWAHILI Lakini sasa amenichosha; Jamii yangu yote umeifanya ukiwa. |
Nayachukia maisha yangu; Nitayasema malalamiko yangu wazi; Nitanena kwa uchungu wa roho yangu.
Hivyo basi nami nimepewa miezi ya ubatili iwe fungu langu, Nami nimeandikiwa mateso usiku hata usiku.
Bwana MUNGU amenipa ulimi wa hao wafundishwao, nipate kujua jinsi ya kumtegemeza kwa maneno yeye aliyechoka, huniamsha asubuhi baada ya asubuhi; huniamsha, sikio langu lipate kusikia kama watu wafundishwao.
Basi, kwa ajili ya hayo, mimi nami nimekupiga kwa pigo liumizalo sana; nimekufanya kuwa ukiwa, kwa sababu ya dhambi zako.