Mimi nami ningeweza kunena kama ninyi; Kama roho zenu zingekuwa mahali pa roho yangu, Ningeweza kutunga maneno juu yenu, Na kuwatikisia ninyi kichwa changu.
Yobu 16:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Lakini ningewatia nguvu kwa kinywa changu, Na maliwazo ya midomo yangu yangewatuliza. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ningeweza kuwatia moyo kwa maneno yangu, na maneno yangu ya faraja yangewatuliza. Biblia Habari Njema - BHND Ningeweza kuwatia moyo kwa maneno yangu, na maneno yangu ya faraja yangewatuliza. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ningeweza kuwatia moyo kwa maneno yangu, na maneno yangu ya faraja yangewatuliza. Neno: Bibilia Takatifu Lakini kinywa changu kingewatia moyo; faraja kutoka mdomoni mwangu ingewaletea nafuu. Neno: Maandiko Matakatifu Lakini kinywa changu kingewatia moyo; faraja kutoka midomoni mwangu, ingewaletea nafuu. BIBLIA KISWAHILI Lakini ningewatia nguvu kwa kinywa changu, Na maliwazo ya midomo yangu yangewatuliza. |
Mimi nami ningeweza kunena kama ninyi; Kama roho zenu zingekuwa mahali pa roho yangu, Ningeweza kutunga maneno juu yenu, Na kuwatikisia ninyi kichwa changu.
Nijapokuwa nanena, huzuni yangu haitulizwi; Nijapokuwa najizuia, nimepunguziwa kitu gani?
Niliwachagulia njia, nikakaa kama mkuu wao. Nikakaa kama mfalme katika jeshi la askari, Mfano wa awafarijiye hao waombolezao.
Kwake huyo atakaye kuzima roho inapasa atendewe mema na rafiki; Hata kwake huyo aachaye kumcha Mwenyezi.
Marhamu na manukato huufurahisha moyo; Kadhalika utamu wa rafiki ya mtu utokao katika kusudi la moyo wake.
Ndugu zangu, mtu akishikwa katika kosa lolote, ninyi mlio wa Roho mrejesheni upya mtu kama huyo kwa roho ya upole, ukijiangalia nafsi yako usije ukajaribiwa wewe mwenyewe.