Je! Yapasa mtu mwenye hekima kujibu kwa ujuzi wa uvuvio, Na kulijaza tumbo lake upepo wa mashariki?
Yobu 16:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Je! Maneno yasiyo faida yatakuwa na mwisho? Au, kuna nini kinachokukasirisha, hata ukajibu? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mwisho wa maneno haya matupu ni lini? Au ni kitu gani kinachowachochea kujibu? Biblia Habari Njema - BHND Mwisho wa maneno haya matupu ni lini? Au ni kitu gani kinachowachochea kujibu? Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mwisho wa maneno haya matupu ni lini? Au ni kitu gani kinachowachochea kujibu? Neno: Bibilia Takatifu Je, maneno yenu mengi yasiyo na maana hayana mwisho? Mna nini hata mwendelee kushindana kwa maneno? Neno: Maandiko Matakatifu Je, maneno yenu mengi yasiyo na maana hayana mwisho? Mna nini hata mwendelee kushindana kwa maneno? BIBLIA KISWAHILI Je! Maneno yasiyo faida yatakuwa na mwisho? Au, kuna nini kinachokukasirisha, hata ukajibu? |
Je! Yapasa mtu mwenye hekima kujibu kwa ujuzi wa uvuvio, Na kulijaza tumbo lake upepo wa mashariki?
Wewe utanena maneno haya hadi lini? Maneno ya kinywa chako yatakuwa kama upepo mkuu hadi lini?
Wala hakuweza mtu kumjibu neno; wala hakuthubutu mtu yeyote tangu siku ile kumwuliza neno tena.
Hao wanapindua watu wa nyumba nzima, wakifundisha yasiyowapasa kwa ajili ya mapato ya aibu.
na maneno yafaayo yasiyoweza kuhukumiwa makosa, ili yule mwenye kupinga atahayarike, kwa kuwa hana neno baya la kunena juu yetu.
Tena mumewe akafanya hivyo mwaka kwa mwaka, hapo yule mwanamke alipokwea kwenda nyumbani kwa BWANA, ndivyo yule alivyomchokoza; basi, kwa hiyo, yeye akalia, asile chakula.