Yobu 16:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Kwani ikiisha pita miaka michache, Nitakwenda njia hiyo ambayo sitarudi tena. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Naam, miaka yangu ni michache, nami nitakwenda huko ambako sitarudi. Biblia Habari Njema - BHND Naam, miaka yangu ni michache, nami nitakwenda huko ambako sitarudi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Naam, miaka yangu ni michache, nami nitakwenda huko ambako sitarudi. Neno: Bibilia Takatifu “Ni miaka michache tu itapita kabla sijaenda safari ambayo sitarudi. Neno: Maandiko Matakatifu “Ni miaka michache tu itapita kabla sijaenda safari ambayo sitarudi. BIBLIA KISWAHILI Kwani ikiisha pita miaka michache, Nitakwenda njia hiyo ambayo sitarudi tena. |
Mtu akifa, je! Atakuwa hai tena? Mimi ningengoja siku zote za huduma yangu, Hadi kufunguliwa kwangu kunifikie.
Kwa kuwa siku zake zimeamriwa, hesabu ya miezi yake unayo wewe, Nawe umemwekea mipaka yake asiyoweza kuipita;
Naam, wataogopa kilichoinuka Na vitisho vitakuwapo njiani; Na mlozi utachanua maua; Na panzi atakuwa ni mzigo mzito; Na pilipili hoho itapasuka; Maana mtu aiendea nyumba yake ya milele, Nao waombolezao wazunguka njiani.