Yobu 16:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Nimesikia maneno mengi mfano wa hayo; Ninyi nyote ni wafariji wenye kutaabisha. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Mambo kama hayo nimeyasikia mengi; nyinyi ni wafariji duni kabisa! Biblia Habari Njema - BHND “Mambo kama hayo nimeyasikia mengi; nyinyi ni wafariji duni kabisa! Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Mambo kama hayo nimeyasikia mengi; nyinyi ni wafariji duni kabisa! Neno: Bibilia Takatifu “Nimepata kusikia mambo mengi kama haya, nanyi nyote ni wafariji wenye kutaabisha! Neno: Maandiko Matakatifu “Nimepata kusikia mambo mengi kama haya, nanyi nyote ni wafariji wenye kutaabisha! BIBLIA KISWAHILI Nimesikia maneno mengi mfano wa hayo; Ninyi nyote ni wafariji wenye kutaabisha. |
Basi imekuwaje ninyi kunituliza moyo kwa utupu mtupu, Kwa kuwa katika majibu yenu unasalia uongo tu.
Je! Kitu kisicho na ladha chaweza kulika bila chumvi? Au je, uto wa yai una tamu iwayo yote?
Laumu imenivunja moyo, Nami ninaugua sana. Nikangoja aje wa kunihurumia, wala hakuna; Na wa kunifariji, wala sikumwona mtu.
Hayo mnajua, ndugu zangu wapenzi. Basi kila mtu na awe mwepesi wa kusikia, bali si mwepesi wa kusema; wala kukasirika;