Basi sasa, umelaaniwa wewe katika ardhi, iliyofumbua kinywa chake ipokee damu ya ndugu yako kutoka kwa mkono wako;
Yobu 16:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Ee nchi, usiifunike damu yangu, Na kilio changu kisipate mahali pa kupumzika. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Ewe dunia, usiifunike damu yangu iliyomwagika; kilio changu kienee kila mahali. Biblia Habari Njema - BHND “Ewe dunia, usiifunike damu yangu iliyomwagika; kilio changu kienee kila mahali. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Ewe dunia, usiifunike damu yangu iliyomwagika; kilio changu kienee kila mahali. Neno: Bibilia Takatifu “Ee nchi, usiifunike damu yangu, nacho kilio changu kisinyamazishwe kamwe. Neno: Maandiko Matakatifu “Ee nchi, usiifunike damu yangu, nacho kilio changu kisinyamazishwe kamwe. BIBLIA KISWAHILI Ee nchi, usiifunike damu yangu, Na kilio changu kisipate mahali pa kupumzika. |
Basi sasa, umelaaniwa wewe katika ardhi, iliyofumbua kinywa chake ipokee damu ya ndugu yako kutoka kwa mkono wako;
wala usiusitiri uovu wao, wala isifutwe dhambi yao, mbele zako; kwa maana wamekukasirisha mbele ya hao wanaojenga.
Nanyi mkunjuapo mikono yenu, nitaficha macho yangu nisiwaone; naam, mwombapo maombi mengi, sitasikia; mikono yenu imejaa damu.
Kwa maana, tazama, BWANA anakuja kutoka mahali pake, ili kuwaadhibu wakaao duniani, kwa sababu ya uovu wao; ardhi nayo itafunua damu yake, wala haitawafunika tena watu wake waliouawa.
Maana damu yake imo ndani yake; aliiweka juu ya jabali lililo wazi; hakuimwaga juu ya nchi, apate kuifunika kwa mavumbi;