Ikiwa una uovu mkononi mwako, uweke mbali nawe, Wala usikubali upuzi kukaa hemani mwako;
Yobu 16:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Ijapokuwa hakuna udhalimu mikononi mwangu, Na kuomba kwangu ni safi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema ingawa sijafanya dhuluma kwa mkono wangu, na sala zangu kwa Mungu ni safi. Biblia Habari Njema - BHND ingawa sijafanya dhuluma kwa mkono wangu, na sala zangu kwa Mungu ni safi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza ingawa sijafanya dhuluma kwa mkono wangu, na sala zangu kwa Mungu ni safi. Neno: Bibilia Takatifu Hata hivyo mikono yangu haijafanya jeuri, na maombi yangu ni safi. Neno: Maandiko Matakatifu Hata hivyo mikono yangu haijafanya jeuri, na maombi yangu ni safi. BIBLIA KISWAHILI Ijapokuwa hakuna udhalimu mikononi mwangu, Na kuomba kwangu ni safi. |
Ikiwa una uovu mkononi mwako, uweke mbali nawe, Wala usikubali upuzi kukaa hemani mwako;
Kwa kuwa jamii ya hao wasiomcha Mungu watakuwa tasa, Na moto utateketeza mahema yenye rushwa.
Ee BWANA, usikie haki, ukisikilize kilio changu, Utege sikio lako kwa maombi yangu, Yasiyotoka katika midomo ya hila.
Nyavu zao hazitakuwa mavazi, wala hawatajifunika kwa kazi zao; kazi zao ni kazi za uovu, na vitendo vya udhalimu vimo mikononi mwao.
bali na wafunikwe nguo za magunia, mwanadamu na mnyama pia, nao wakamlilie Mungu kwa nguvu, naam, na wageuke, kila mtu akaache njia yake mbaya, na udhalimu ulio mikononi mwake.
Basi, nataka wanaume waombe kila mahali, huku wakiinua mikono iliyotakata pasipo hasira wala majadiliano.