Yobu 16:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Hunivunja kwa uvunjifu juu ya uvunjifu; Hunishambulia mfano wa jitu shujaa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hunivunja na kunipiga tena na tena; hunishambulia kama askari. Biblia Habari Njema - BHND Hunivunja na kunipiga tena na tena; hunishambulia kama askari. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hunivunja na kunipiga tena na tena; hunishambulia kama askari. Neno: Bibilia Takatifu Huniponda tena na tena; hunishambulia kama shujaa wa vita. Neno: Maandiko Matakatifu Huniponda tena na tena; hunishambulia kama shujaa wa vita. BIBLIA KISWAHILI Hunivunja kwa uvunjifu juu ya uvunjifu; Hunishambulia mfano wa jitu shujaa. |
Kilindi chapigia kelele kilindi kwa sauti ya maporomoko ya maji yako, Gharika zako zote na mawimbi yako yote yamepita juu yangu.
Hupiga mbio kama mashujaa; huupanda ukuta kama watu wa vita; nao huendelea mbele kila mmoja katika njia zake, wala hawapotoshi safu zao.
Ndipo akawashambulia vikali na kuwaua wengi, kisha akateremka na kukaa katika ufa wa jabali la Etamu.