Je! Ahoji na mazungumzo yasiyo na faida, Au kwa maneno ambayo hawezi kufanya mema kwayo?
Yobu 15:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Naam, wewe wapuuza hofu ya Mungu, Nawe wazuia ibada mbele za Mungu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini wewe unapuuza uchaji wa Mungu; na kuzuia kutafakari mbele ya Mungu. Biblia Habari Njema - BHND Lakini wewe unapuuza uchaji wa Mungu; na kuzuia kutafakari mbele ya Mungu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini wewe unapuuza uchaji wa Mungu; na kuzuia kutafakari mbele ya Mungu. Neno: Bibilia Takatifu Lakini unadhoofisha hata uchaji wa Mungu na kuzuia ibada mbele za Mungu. Neno: Maandiko Matakatifu Lakini unadhoofisha hata uchaji wa Mungu na kuzuia ibada mbele za Mungu. BIBLIA KISWAHILI Naam, wewe wapuuza hofu ya Mungu, Nawe wazuia ibada mbele za Mungu. |
Je! Ahoji na mazungumzo yasiyo na faida, Au kwa maneno ambayo hawezi kufanya mema kwayo?
Kwake huyo atakaye kuzima roho inapasa atendewe mema na rafiki; Hata kwake huyo aachaye kumcha Mwenyezi.
Wala hawakunililia kwa moyo, lakini wanalalamika vitandani mwao; hujikutanisha ili kupata nafaka na divai; huniasi mimi.
Na mjomba wa mtu atakapomwinua, yaani, yeye amchomaye moto, ili atoe mifupa yake nyumbani, naye atakapomwambia yeye aliye katika pande za ndani za nyumba, Je! Yuko mtu yeyote pamoja nawe? Naye atakaposema, La, hapana; ndipo atasema, Nyamaza kimya; maana hatuna ruhusa kulitaja jina la BWANA.
na hao waliorudi nyuma, na kuacha kumfuata BWANA; na hao wasiomtafuta BWANA, wala kumwulizia.
Basi, je! Twaibatilisha sheria kwa imani hiyo? La hasha! Kinyume cha hayo twaithibitisha sheria.
Siibatili neema ya Mungu; maana, ikiwa haki hupatikana kwa njia ya sheria, basi Kristo alikufa bure.