Yobu 15:35 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Wao hutunga mimba ya madhara, na kuzaa uovu, Na mioyo yao hutunga udanganyifu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wanatunga udanganyifu na kuzaa uovu. Mioyo yao hupanga udanganyifu.” Biblia Habari Njema - BHND Wanatunga udanganyifu na kuzaa uovu. Mioyo yao hupanga udanganyifu.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wanatunga udanganyifu na kuzaa uovu. mioyo yao hupanga udanganyifu.” Neno: Bibilia Takatifu Hutunga mimba ya madhara na kuzaa uovu; tumbo zao huumba udanganyifu.” Neno: Maandiko Matakatifu Hutunga mimba ya madhara na kuzaa uovu; matumbo yao huumba udanganyifu.” BIBLIA KISWAHILI Wao hutunga mimba ya madhara, na kuzaa uovu, Na mioyo yao hutunga udanganyifu. |
Mmelima dhuluma, mmevuna uovu; mmekula matunda ya uongo; kwa maana uliitumainia njia yako, na wingi wa mashujaa wako.
Ole wao wakusudiao mambo maovu, na kutenda mabaya vitandani mwao! Kunapopambazuka asubuhi huyafanya, sababu wana uwezo mikononi mwao.
Halafu ile tamaa ikiisha kuchukua mimba huzaa dhambi, na ile dhambi ikiisha kukomaa huzaa mauti.