Yobu 15:33 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Atayapukutisha mapooza yake kama mzabibu, Na kuyatupa maua yake kama mzeituni. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Atakuwa kama mzabibu unaopukutisha zabibu mbichi, kama mzeituni unaoangusha maua yake. Biblia Habari Njema - BHND Atakuwa kama mzabibu unaopukutisha zabibu mbichi, kama mzeituni unaoangusha maua yake. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Atakuwa kama mzabibu unaopukutisha zabibu mbichi, kama mzeituni unaoangusha maua yake. Neno: Bibilia Takatifu Atafanana na mzabibu uliopukutishwa matunda yake kabla hayajaiva, kama mzeituni unaodondosha maua yake. Neno: Maandiko Matakatifu Atafanana na mzabibu uliopukutishwa matunda yake kabla hayajaiva, kama mzeituni unaodondosha maua yake. BIBLIA KISWAHILI Atayapukutisha mapooza yake kama mzabibu, Na kuyatupa maua yake kama mzeituni. |
Nchi inaomboleza, na kulegea; Lebanoni imetahayarika na kunyauka; Sharoni imekuwa kama jangwa; Bashani na Karmeli zimepukutika majani.
na nyota zikaanguka juu ya nchi kama vile mtini upukutishavyo mapooza yake, utikiswapo na upepo mwingi.