Yobu 15:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Naye amekaa katika miji iliyo ukiwa, Katika nyumba ambazo hapana mtu azikaaye, Zilizokuwa tayari kuwa magofu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ameishi katika miji iliyoachwa tupu, katika nyumba zisizokaliwa na mtu; nyumba zilizotakiwa ziwe lundo la uharibifu. Biblia Habari Njema - BHND Ameishi katika miji iliyoachwa tupu, katika nyumba zisizokaliwa na mtu; nyumba zilizotakiwa ziwe lundo la uharibifu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ameishi katika miji iliyoachwa tupu, katika nyumba zisizokaliwa na mtu; nyumba zilizotakiwa ziwe lundo la uharibifu. Neno: Bibilia Takatifu ataishi katika miji ya magofu, na katika nyumba ambazo haziishi mwanadamu yeyote, nyumba zinazokuwa vifusi. Neno: Maandiko Matakatifu ataishi katika miji ya magofu, na katika nyumba ambazo haziishi mwanadamu yeyote, nyumba zinazokuwa vifusi. BIBLIA KISWAHILI Naye amekaa katika miji iliyo ukiwa, Katika nyumba ambazo hapana mtu azikaaye, Zilizokuwa tayari kuwa magofu. |
Mikaya Mmorashti, alitabiri katika siku za Hezekia, mfalme wa Yuda; akasema na watu wote wa Yuda, ya kwamba, BWANA wa majeshi asema hivi, Sayuni utalimwa kama shamba lilimwavyo, na Yerusalemu utakuwa magofu, na mlima wa nyumba utakuwa kama mahali palipoinuka msituni.
Na Babeli utakuwa magofu, makao ya mbwamwitu, ajabu, na mazomeo, pasipo mtu wa kukaa huko.
Nami nitafanya Yerusalemu kuwa magofu, Makao ya mbweha; Nami nitaifanya miji ya Yuda kuwa ukiwa, Isikaliwe na mtu awaye yote.
Basi, kwa ajili yenu, Sayuni utalimwa kama shamba lilimwavyo, na Yerusalemu utakuwa magofu; na mlima wa nyumba utakuwa kama mahali palipoinuka msituni.
Ni nani aliye Mungu kama wewe, mwenye kusamehe uovu, na kuliachilia kosa la watu wa urithi wake waliosalia? Hadumishi hasira yake milele, kwa maana yeye hufurahia rehema.