Yobu 15:27 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Kwa kuwa amefunika uso wake na mafuta yake, Na kuwandisha mafuta kiunoni mwake; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Uso wake ameunenepesha kwa mafuta, na kiuno chake kimejaa mafuta. Biblia Habari Njema - BHND Uso wake ameunenepesha kwa mafuta, na kiuno chake kimejaa mafuta. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Uso wake ameunenepesha kwa mafuta, na kiuno chake kimejaa mafuta. Neno: Bibilia Takatifu “Ingawa uso wake umefunikwa na mafuta kwa unene na kiuno chake kimevimba kwa kunenepa, Neno: Maandiko Matakatifu “Ingawa uso wake umefunikwa na mafuta kwa unene na kiuno chake kimevimba kwa kunenepa, BIBLIA KISWAHILI Kwa kuwa amefunika uso wake na mafuta yake, Na kuwandisha mafuta kiunoni mwake; |
Hasira ya Mungu ikapanda juu yao, Akawaua waliokuwa wanono; Akawaangusha chini vijana wa Israeli.
Zifanye akili za watu hawa zipumbae, na uyatie uzito masikio yao, na uyafumbe macho yao; wasije wakaona kwa macho yao, na kusikia kwa masikio yao, na kufahamu kwa mioyo yao, na kurejea na kuponywa.
Wamenenepa sana, wang'aa; naam, wamepita kiasi kwa matendo maovu; hawatetei madai ya yatima, ili wapate kufanikiwa; wala hawaamui haki ya mhitaji.
Lakini Yeshuruni alinenepa, akapiga teke; Umenenepa, umekuwa mnene, umewanda; Ndipo akamwacha Mungu aliyemfanya, Akamdharau Mwamba wa wokovu wake.