Yuda, ndugu zako watakusifu, Mkono wako utakuwa shingoni mwa adui zako. Wana wa baba yako watakuinamia.
Yobu 15:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Humshambulia na shingo ngumu, Kwa mafundo makubwa ya ngao zake; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema alikimbia kwa kiburi kumshambulia, huku ana ngao yenye mafundo makubwa. Biblia Habari Njema - BHND alikimbia kwa kiburi kumshambulia, huku ana ngao yenye mafundo makubwa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza alikimbia kwa kiburi kumshambulia, huku ana ngao yenye mafundo makubwa. Neno: Bibilia Takatifu kwa kiburi akishambulia dhidi ya Mungu akiwa na ngao nene, iliyo imara. Neno: Maandiko Matakatifu kwa kiburi akishambulia dhidi ya Mungu akiwa na ngao nene, iliyo imara. BIBLIA KISWAHILI Humshambulia na shingo ngumu, Kwa mafundo makubwa ya ngao zake; |
Yuda, ndugu zako watakusifu, Mkono wako utakuwa shingoni mwa adui zako. Wana wa baba yako watakuinamia.
Kwa kuwa amenyosha mkono wake juu ya Mungu, Na kuendelea kwa kiburi kinyume cha Mwenyezi;
Nilikuwa katika raha, naye akanivunjavunja; Naam, amenishika shingo, na kuniponda; Tena amenisimamisha niwe shabaha yake.
Farao akasema, BWANA ni nani, hata niisikilize sauti yake, na kuwapa Israeli ruhusa waende zao? Mimi simjui BWANA, wala sitawapa Israeli ruhusa waende zao.