Hata alipokuwa katika kusema nao, tazama, yule aliyetumwa akamshukia; naye akasema, Angalia, mabaya haya yatoka kwa BWANA; kwani mimi kumngojea BWANA tena?
Yobu 15:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Yeye hasadiki kwamba atarudi kutoka gizani, Naye hungojewa na upanga; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mwovu hana tumaini la kutoka gizani; mwisho wake ni kufa kwa upanga. Biblia Habari Njema - BHND Mwovu hana tumaini la kutoka gizani; mwisho wake ni kufa kwa upanga. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mwovu hana tumaini la kutoka gizani; mwisho wake ni kufa kwa upanga. Neno: Bibilia Takatifu Hukata tamaa kuokoka gizani; amewekwa kwa ajili ya upanga. Neno: Maandiko Matakatifu Hukata tamaa kuokoka gizani; amewekwa kwa ajili ya upanga. BIBLIA KISWAHILI Yeye hasadiki kwamba atarudi kutoka gizani, Naye hungojewa na upanga; |
Hata alipokuwa katika kusema nao, tazama, yule aliyetumwa akamshukia; naye akasema, Angalia, mabaya haya yatoka kwa BWANA; kwani mimi kumngojea BWANA tena?
Hutangatanga ili apate chakula, akisema, Ki wapi? Ajua kwamba siku ya giza i tayari karibu naye;
Hataondoka gizani; Ndimi za moto zitayakausha matawi yake, Naye ataondoka kwa pumzi za kinywa chake.
Uogopeni upanga; Kwa maana adhabu za upanga zina ghadhabu, Mpate kujua ya kwamba hukumu iko.