Yobu 15:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Sembuse mtu ambaye ni mwenye kuchukiza na uchafu, Mwanadamu anywaye uovu kama anywavyo maji! Matoleo zaidiBiblia Habari Njema sembuse binadamu aliye kinyaa na mpotovu binadamu atendaye uovu kama kunywa maji! Biblia Habari Njema - BHND sembuse binadamu aliye kinyaa na mpotovu binadamu atendaye uovu kama kunywa maji! Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza sembuse binadamu aliye kinyaa na mpotovu binadamu atendaye uovu kama kunywa maji! Neno: Bibilia Takatifu sembuse mwanadamu ambaye ni mwovu na mpotovu, ambaye hunywa uovu kama anywavyo maji! Neno: Maandiko Matakatifu sembuse mwanadamu ambaye ni mwovu na mpotovu, ambaye hunywa uovu kama anywavyo maji! BIBLIA KISWAHILI Sembuse mtu ambaye ni mwenye kuchukiza na uchafu, Mwanadamu anywaye uovu kama anywavyo maji! |
Je! Si zaidi sana hao wakaao katika nyumba za udongo, Ambazo misingi yao i katika mchanga, Hao wanaopondwa kama nondo!
Maana hapo zamani sisi nasi tulikuwa hatuna akili, tulikuwa waasi, tumedanganywa, huku tukitumikia tamaa na anasa za namna nyingi, tukiishi katika uovu na husuda, tukichukiza na kuchukiana.