Ndipo akakaribia Sedekia, mwana wa Kenaana, akampiga Mikaya kofi la shavu, akasema, Roho ya BWANA alitokaje kwangu ili aseme na wewe?
Yobu 15:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Je! Utulivu wa Mungu ni mdogo sana kwako, Maliwazo ya Mungu ni madogo sana kwako? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Je, faraja anazokupa Mungu ni ndogo mno? Au je, neno lake la upole kwako si kitu? Biblia Habari Njema - BHND Je, faraja anazokupa Mungu ni ndogo mno? Au je, neno lake la upole kwako si kitu? Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Je, faraja anazokupa Mungu ni ndogo mno? Au je, neno lake la upole kwako si kitu? Neno: Bibilia Takatifu Je, faraja za Mungu hazikutoshi, au maneno yaliyosemwa kwako kwa upole si kitu? Neno: Maandiko Matakatifu Je, faraja za Mungu hazikutoshi, au maneno yaliyosemwa kwako kwa upole si kitu? BIBLIA KISWAHILI Je! Utulivu wa Mungu ni mdogo sana kwako, Maliwazo ya Mungu ni madogo sana kwako? |
Ndipo akakaribia Sedekia, mwana wa Kenaana, akampiga Mikaya kofi la shavu, akasema, Roho ya BWANA alitokaje kwangu ili aseme na wewe?
Sikurudi nyuma kuiacha amri ya midomo yake; Nimeyatunza maneno ya kinywa chake zaidi ya riziki yangu,
Yeye humponya aliyetaabika kwa njia ya taabu yake, Na kuyafunua masikio yao kwa maonevu.
Naam, yeye angekuongoza utoke katika msiba Hata mahali penye nafasi, ambapo hapana kizuizi; Na kilichowekwa mezani pako kingejaa mafuta.
Hapo ndipo ningefarijika hata sasa; Naam, ningejikuza katika maumivu yasiyoniacha; Kwa kuwa sikuyakana maneno yake Mtakatifu.