Yobu 14:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Lakini kwa harufu ya maji utachipuka, Na kutoa matawi kama mche. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema lakini kwa harufu tu ya maji utachipua; utatoa matawi kama chipukizi. Biblia Habari Njema - BHND lakini kwa harufu tu ya maji utachipua; utatoa matawi kama chipukizi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza lakini kwa harufu tu ya maji utachipua; utatoa matawi kama chipukizi. Neno: Bibilia Takatifu lakini kwa kupata dalili ya maji utachipua na kutoa machipukizi kama mche. Neno: Maandiko Matakatifu lakini kwa kupata dalili ya maji utachipua na kutoa machipukizi kama mche. BIBLIA KISWAHILI Lakini kwa harufu ya maji utachipuka, Na kutoa matawi kama mche. |
Mama yako alikuwa kama mzabibu, katika damu yako, uliopandwa karibu na maji; akazaa sana na kujaa matawi, kwa sababu ya maji mengi.
Majani yake yalikuwa mazuri, na matunda yake mengi, na ndani yake chakula cha kuwatosha watu wote; wanyama wa mwituni walipata uvuli chini yake, na ndege wa angani walikaa katika matawi yake; kila kitu chenye mwili kilipata chakula kwake.