Kwani yako matumaini ya mti, ya kuwa ukikatwa utachipuka tena, Wala machipukizi yake hayatakoma.
Yobu 14:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Ijapokuwa mizizi yake huchakaa mchangani, Na shina lake kufa katika udongo; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Japo mizizi yake itazeeka udongoni, na shina lake kufia ardhini, Biblia Habari Njema - BHND Japo mizizi yake itazeeka udongoni, na shina lake kufia ardhini, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Japo mizizi yake itazeeka udongoni, na shina lake kufia ardhini, Neno: Bibilia Takatifu Mizizi yake yaweza kuchakaa ardhini na kisiki chake kufa udongoni, Neno: Maandiko Matakatifu Mizizi yake yaweza kuchakaa ardhini na kisiki chake kufa udongoni, BIBLIA KISWAHILI Ijapokuwa mizizi yake huchakaa mchangani, Na shina lake kufa katika udongo; |
Kwani yako matumaini ya mti, ya kuwa ukikatwa utachipuka tena, Wala machipukizi yake hayatakoma.
Wafu wako wataishi, maiti zangu zitafufuka; amkeni, kaimbeni, ninyi mnaokaa mavumbini, kwa maana umande wako ni kama umande wa mimea, nayo ardhi itawatoa waliokufa.
Amin, amin, nawaambia, Chembe ya ngano isipoanguka katika nchi, ikafa, hukaa hali iyo hiyo peke yake; bali ikifa, hutoa mazao mengi.