Yobu 14:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Acha kumwangalia yeye, apate kupumzika, Hata atakapoitimiza siku yake, kama aliyeajiriwa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Angalia pembeni basi, umwache; ili apate kufurahia siku zake kama kibarua. Biblia Habari Njema - BHND Angalia pembeni basi, umwache; ili apate kufurahia siku zake kama kibarua. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Angalia pembeni basi, umwache; ili apate kufurahia siku zake kama kibarua. Neno: Bibilia Takatifu Hivyo angalia mbali umwache, hadi awe amekamilisha muda wake kama mtu aliyeajiriwa. Neno: Maandiko Matakatifu Hivyo angalia mbali umwache, hadi awe amekamilisha muda wake kama mtu aliyeajiriwa. BIBLIA KISWAHILI Acha kumwangalia yeye, apate kupumzika, Hata atakapoitimiza siku yake, kama aliyeajiriwa. |
Kwani yako matumaini ya mti, ya kuwa ukikatwa utachipuka tena, Wala machipukizi yake hayatakoma.
Lakini sasa BWANA asema hivi, Katika muda wa miaka mitatu, kama miaka ya mtu wa mshahara, utukufu wa Moabu utadharauliwa, licha ya wingi wa watu wake; na watakaobaki watakuwa wachache sana na dhaifu.