Yobu 14:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Nawe, je! Wafumbua macho yako kumwangalia mtu kama yeye, Na kunitia katika hukumu pamoja nawe? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ee Mungu, kwa nini unajali hata kumwangalia na kuanza kuhojiana naye? Biblia Habari Njema - BHND Ee Mungu, kwa nini unajali hata kumwangalia na kuanza kuhojiana naye? Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ee Mungu, kwa nini unajali hata kumwangalia na kuanza kuhojiana naye? Neno: Bibilia Takatifu Je, unamwekea jicho lako mtu kama huyo? Je, utamleta mbele yako katika hukumu? Neno: Maandiko Matakatifu Je, unamwekea jicho lako mtu kama huyo? Je, utamleta mbele yako katika hukumu? BIBLIA KISWAHILI Nawe, je! Wafumbua macho yako kumwangalia mtu kama yeye, Na kunitia katika hukumu pamoja nawe? |
Waitia miguu yangu katika mkatale, na kuyakagua mapito yangu yote; Wajiandikia alama kuzizunguka nyayo za miguu yangu;
Basi twajua ya kuwa mambo yote inenayo torati huyanena kwa hao walio chini ya torati, ili kila kinywa kifumbwe, na ulimwengu wote uwe chini ya hukumu ya Mungu;