Mtu akifa, je! Atakuwa hai tena? Mimi ningengoja siku zote za huduma yangu, Hadi kufunguliwa kwangu kunifikie.
Yobu 14:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Wewe wamshinda nguvu sikuzote, naye hupita aende zake Wabadili sura zake, na kumtuma aende mbali. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wewe wamwangusha binadamu, naye akatoweka milele; waubadilisha uso wake na kumtupilia mbali. Biblia Habari Njema - BHND Wewe wamwangusha binadamu, naye akatoweka milele; waubadilisha uso wake na kumtupilia mbali. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wewe wamwangusha binadamu, naye akatoweka milele; waubadilisha uso wake na kumtupilia mbali. Neno: Bibilia Takatifu Humshinda mara moja kwa daima, naye hutoweka; waibadilisha sura yake na kumwondoa. Neno: Maandiko Matakatifu Humshinda mara moja kwa daima, naye hutoweka; waibadilisha sura yake na kumwondoa. BIBLIA KISWAHILI Wewe wamshinda nguvu siku zote, naye hupita aende zake Wabadili sura zake, na kumtuma aende mbali. |
Mtu akifa, je! Atakuwa hai tena? Mimi ningengoja siku zote za huduma yangu, Hadi kufunguliwa kwangu kunifikie.
Basi walipoinua macho yao, wakiwa bado kwa mbali, wasimtambue, wakainua sauti zao na kulia; kila mmoja akararua joho lake, wakarusha mavumbi juu ya vichwa vyao kuelekea mbinguni.
Hata hivyo ataangamia milele kama mavi yake mwenyewe; Hao waliomwona watasema, Yuko wapi?
Hakuna mwenye uwezo juu ya roho aizuie roho; Wala hana mamlaka juu ya siku ya kufa; Wala hakuna kuponyoka katika vita vile; Wala uovu hautamwokoa yule aliyeuzoea.
Nyuso zao ni nyeusi kuliko makaa; Hawajulikani katika njia kuu; Ngozi yao yagandamana na mifupa yao Imekauka, imekuwa kama mti.